Daily Archives: May 15, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUTA MAMLAKA YA USITAWISHAJI WA MJI WA DODOMA (CDA) MEI 15,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia Saini Amri ya Rais kuvunja Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017  

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa kutia sain Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017  

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa kutia saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017  

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na viongozi mbalimbali wa serikali kabla ya kutia saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

 

 

 

 

 

Picha Juu nviongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

Waziri wa Sheria na katiba Prof. Palamagamba Kabudi akisoka rasimu Rais ya kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

Waziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiongea jambo baada ya Rais kutia Saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akiongea jambo baada ya Rais kutia Saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Hassan Suluhu  akiongea jambo baada ya Rais kutia Saini Amri ya Rais kufuta Mamlaka ya Usitawishaji wa Makao Mkuu Dodoma (CDA) Ikulu jijini Dar es salaam Mei. 15,2017

Picha ya pamoja 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya usitawishaji wa mji wa Dodoma CDA Eng Paskasi Damian Muragili mara baada ya Rais kufuta mamlaka ya usitawishaji wa makao Makuu Dodoma Ikulu jijini Dar es salaam Mei 15,2017