Monthly Archives: July 2017

RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI NGURUKA UVINZA KIGOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI TABORA KWA ZIARA YA KISERIKALI JULAI 23,2017

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli mapema asubuhi ya tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo Julai 23,2917

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea Mkoani Tabora kuanza Ziara ya KIserikali Mkoani humo, Julai 23,2017.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.

 

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragharasi kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia waananchi wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma,kushoto kwa Mhe Rais ni Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge. Julai 23,2017.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia wananchi. Julai 23,2017.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na   Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara bada ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka. Julai 23,2017.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Julai 23,2017

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Julai 23,2017

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka Julai 23,2017.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI LEO TAREHE 22 JULAI, 2017 AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA WA MJI WA KIGOMA NA KUHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA KIGOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo jinsi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (E

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufunfungua ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali akifungua kitambaa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika eneo la chanza cha maji katika Ziwa Tangangika wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Mji wa Kigoma ambao unatarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji katika mji huo ifikapo tarehe 30 Novemba, 2017Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 42 na ni moja ya miradi mitano iliyotekelezwa katika miji ya Lindi, Sumbawanga, Babati, Mtwara na Kigoma kwa gharama ya Shilingi Bilioni 164 zikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na Umoja wa Ulaya (EU)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma

 

wananchi wa Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma wakisililiza Hotuba nzuri kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli 

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika oicha ya pamoja na vijana wa JKT mara baada ya kuhutubia wananchi wa mji wa kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma