Daily Archives: December 4, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI.BELLA BIRD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DISEMBA 4,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugegenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi.Bella Bird alipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 4,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Mkurugegenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi.Bella Bird alipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 4,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 4,2017.