Daily Archives: October 9, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.OKTOBA 9,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.Oktoba 9, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bi. Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza Ikulu jijini Dar es salaam.Oktoba 9, 2018