Daily Archives: March 13, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI MIKHAIL BOGDANOV IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov ambaye aliambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov zawadi ya Kinyago cha Mpingo kabla ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro kabla ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Kitabu chenye Mambo ya Urusi alichopewa zawadi na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov watano kutoka kushoto, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi watano kutoka kulia, Balozi wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali Simon Mumwi watatu kutoka kulia, Balozi Zuhura Bundala wapili kutoka kushoto pamoja na Maofisa wengine kutoka nchini Urusi Ikulu jijini Dar es Salaam. 

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MOROCCO HAPA NCHINI ALIYEAMBATANA NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KWAO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. katikati ni Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane akishuhudia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 85,000 mkoani Dodoma huku Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane wanne kutoka (kushoto) pamoja na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe huo wakisikiliza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane ambaye aliambatana pamoja na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco, Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Patrick Mfugale pamoja na wajumbe wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 85,000 mkoani Dodoma huku Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane wanne kutoka (kushoto) pamoja na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe huo wakisikiliza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane wasabi kutoka kushoto akifatiwa na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco pamoja na Ujumbe wao. Wengine katika picha ni ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi wasabi kutoka kulia, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale wasita kutoka kulia, Balozi Zuhuru Bundala wakwanza kulia pamoja na wajumbe wengine Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfano wa Uwanja mkubwa wa mpira wa miguu utakaojengwa Jijini Dodoma kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco Mohamed VI. Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 85,000 (normal capacity) waliokaa kwenye viti lakini pia utaweza kubeba washabiki hadi105,000 kama walivyopanga. Kwa nje uwanja huo utakuwa na muonekano kama mlima Kilimanjaro hivyo kuzidi kupamba madhari ya mjii mkuu wa Tanzania mkoani Dodoma.