Monthly Archives: August 2019

MWENYEKITI WA SADC RAIS DKT MAGUFULI AFUNGA RASMI MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax kwa maandalizi mazuri baada ya kufunga mkutano huo wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,  Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ,  Agosti 18, 2019

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wakimpigia makofi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ,  18, 2019

Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax akitoa majumuisho kabla ya kufungwa rasmi kwa mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Angola Mhe Joao Manuel Goncalves Lourenco baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere, Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsidikiza Rais wa Andry Nirina Rajoelina baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,  Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Comorro Mhe Azali Assoumani na mkewe Mama Assoumani baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,  Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu wa Lesotho Mhe. Tom Thabane baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere ,Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure walipomaliza mazungumzo yao baada ya kufunga  rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,Agosti 18, 2019

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini  mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere , Agosti 18, 2019

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI WA NCHI ZA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA SADC KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE JNICC JIJINI DAR ES SALAAM NA PIA MWENYEKITI WA SADC AONGOZA KIKAO CHA NDANI CHA WAKUU WA NCHI HIZO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivalishwa Beji kama ishara ya kukabidhiwa Uenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kutoka kwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi pamoja na Wakuu mbalimbali wa nchi za SADIC wakati wa wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa kabla ya kuaza kwa mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) akihutubia katika mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa SADC aliyemaliza muda wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob akifurahia jambo na Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa katika mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) akihutubia katika mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Ndani cha Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emerson Mnangagwa kwa ajili ya kikao cha Wakuu wa Nchi za SADC jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa mara baada ya kuhutubia katika wa mkutano wa wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete na kulia ni Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi . 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emerson Mnangagwa akisoma moja ya kitabu cha Lugha ya Kiswahili katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi akisoma moja ya kitabu cha Lugha ya Kiswahili katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo. 