Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Makamu wa rais na katibu mkuu kiongozi katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Angelina Mgeni Lutambi kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Aisha Salim Amour kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Zena Ahmed Said kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Richard Nkingwa Kwitega kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Selestine Muhochi Gesimba kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Zuberi Mhina Samataba kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Tea Medard Ntara Zena kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016