RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA, MHESHIMIWA NARENDRA MODI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JULY 10,2016

2cvdcv

 

1bjcjbcdknncv

 

3vjn kjnkRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa ziara rasmi ya Kiserikali Nchini Tanzania. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya July 10, 2016. 

3bfnnWaziri Mkuu wa India Narendra Modi akikagua gwaride la Heshima katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam.

4fvfjvj

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam.

5.dchvdjcj

 

5cmcm

 

5gmmcRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wakati wakiwasili kwenye lango kuu la Ikulu jijini Dar es Salaam

DSC_2609

 

DSC_2638Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea katika viwanja vya Ikulu wakati akiwasili kwenye lango kuu la Ikulu jijini Dar es Salaam

6cbch

 

6dcnRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam.

8hfhgfhfWaziri Mkuu wa India Narendra Modi akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

9bcjcbjRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *