RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WAKAZI WA MJI WA GEITA JULAI 31,2016

1.

 

1gsdhdjdhRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Geita mjini mara baada ya kuwasili kutoka Kahama Julai 31,2016

4jhWananchi wa Geita wakionesha furaha yao wakati Rais Dkt. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mkutano viwanjani hapo.

2wwwjwjRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia wa wakazi wa Geita mara baada ya kuwahutubia Julai 31,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya mikutano vya Geita mjini mara baada ya kuhutubia.

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *