RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGEA NA WAHARIRI, WATANGAZAJI NA WAANDISHI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 4,2016

1jhdfdh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

2 baadhi ya wapigapicha wakichukua matukio katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

e2

 

3Mkurugenzi wa Azam Media Tido Muhando akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

e4

 

e9Mwandishi wa habati wa  Shirika la utangazaji BBC Sammy Awami akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

e10Mhariri mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dr. Jim Yonazi akiuliza swali  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

4

 

6

 

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na msanii wa Mrisho Mpoto mara baada ya kuongea  na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *