MBUNGE WA MTANA NAPE NNAUYE AKUTANA NA RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA KUMUOMBA MSAMAHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Dkt. Magufuli kufuatia tukio lililotokea miezi iliyopita.

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari.

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye Ikulu jijini Dar es Salaam. 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *