RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA MABALOZI 9 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno hapa nchini mwenye makazi yake nchini Msumbiji Maria Amelia Maio De PAIVA katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya kuwasilishha Hati zake za utambulisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua mara baada ya mazungumzo yao na kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamaica hapa nchini mwenye makazi yake Afrika Kusini Angela Veronica Comfort katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamaica hapa nchini mwenye makazi yake Afrika Kusini Angela Veronica Comfort mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Austria mwenye makazi yake nchini Kenya Dkt. Christian Fellner Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana mwenye makazi yake nchini Kenya Fransisca Ashiete-ODUNTON Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ghana mwenye makazi yake nchini Kenya Fransisca Ashiete-ODUNTON Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Venezuela hapa nchini Jesus Agustin Manzanilla PUPPO Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Venezuela hapa nchini Jesus Agustin Manzanilla PUPPO Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Djibouti hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Yacin Elmi Bouh mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Djibouti hapa nchini mwenye makazi yake Kenya Yacin Elmi Bouh mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *