RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI JUNI 26,2015

p1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam  

p2

Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla akihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p3

Mabalozi na viongozi mbalimbali  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p4

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p5

Sehemu ya maaskofu  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam p6

Rais Kikwete akisoma hotuba yake  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   

p7

Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Muadhama kardinali Polycarp Pengo kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani  jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p8

Rais Kikwete akigonganisha glasi na Kiongozi wa Mabalozi nchini na Balozi wa DRC Mhe. Asumani Mpango pamoja na Mhe Membe na Rais wa baraza la Maskofo wa Kikatoliki Tanzania (TEC) Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p9

Meza Kuu ikishereherekea miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani

p11

Rais Kikwete akiongea   na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe zakuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p12

Waziri Membe akimtambulisha Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwa Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikh abubakar Zubeiry aliyealikwa kwenye sherehe hizo

p13

Rais Kikwete, Waziri Membe,  Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na  Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikhabubakar Zubeiry kwenye sherehe hizo 

p14

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p16

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi la kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p17

 

p18

Rais Kikwete akiagana na watawa  baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p19

 

p20

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p21

 

p22

 

p23

 

p24

 

p25

 

p26

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongoziwa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam  p27

Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p28 

 

p29

 

p30

 

p32

 

p33

 

p34

 

p35

 

p36

Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa  kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *