Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Bi. Jacqueline M. Maleko aliyeteuliuwa kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi katika banda la JWTZ alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014, Banda la jeshi la wananchi JWTZ ndio lilikuwa la mwisho kutembelewa na Mhe.Rais
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na vijana wa skauti alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea banda la PPF kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014