PICHA MBALIMBALI MHE. RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ALIPO HUDHURIA MKUTANO WA BARAZA KUU TAIFA LA KANISA LA TAG UKUMBI WA CBC MIYUJI DODOMA LEO

Mhe Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na  maaskofu , wachungaji, walimu wadini   na wamisionari wa kanisa la Tanzania Assemblies of God  TAG wakati wa mkutano wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji  Dodoma .

Mhe Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mkono na Askofu mkuu wa kanisa la TAG  Barnabas Mtokambali wakati alipohudhuria mkutano  wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji  Dodoma .

Mhe Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  akiimba wimbo wa kumsifu  Mungu  na  Askofu mkuu wa kanisa la TAG  Barnabas Mtokambali wakati alipohudhuria mkutano  wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji  Dodoma .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa unyenyekevu baada ya kutunukiwa tuzo ya heshima na Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)  alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Mtokambali alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika  Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma

 

Mhe Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika Picha ya pamoja na  Askofu mkuu wa kanisa la TAG  Barnabas Mtokambali na viongozi wa sekretarieti na kamati mbalimbali za baraza kuu la TAG  wakati alipohudhuria mkutano  wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji  Dodoma

.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga viongozi wadini na washiriki wa mkutano wa baraza kuu la TAG Taifa, wakati wa   Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *