Mhe. Rais Dkt. John P. Magufuli ahudhuria misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa katoliki la Bikira Maria Imaculata , Chamwino Dodoma

Padre  Paul Mapalala  Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata  akiongoza misa Takatifu ya Dominika  ya 20 ya Mwaka A ya Kanisa Katoliki ,  Misa hiyo ilihudhuriwa na  Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli . Chamwino Dodoma.

Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli  akiagana na Padre  Paul Mapalala  Paroko wa parokia ya Bikira Maria wa Imaculata  mara baada ya kumaliza ibada  ya misa Takatifu ya Dominika  ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa katoliki la Bikira Maria Imaculata ,  Chamwino Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *