Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wa Bunge wa CCM alipokutana nao Ukumbi wa makao makuu ya Chama CCM White House Dodoma.
Wabunge wateule wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na wabunge hao katika ukumbi wa makao makuu ya Chama CCM White House Dodoma. tarehe 9 Novemba 2020
Makamo wa rais Mhe Samia Sululu Hassan waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa wakishangilia na wabunge wa CCM wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana na wabunge wa CCM katika ukumbi wa Makao makuu ya Chama CCM White House Dodoma.