Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania