Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili uwanja wa ndege Songwe Mbeya kwa ajili ya kuhudhuria kilele cha maadhimisho ya miaka 75 ya kanisa la Tanzania Assembliese of God (TAG) Mbeya Julai 13,2014
Vijana wa halaiki wanogesha maadhimisho ya miaka 75 ya Tanzania assembliese of god katika uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya julai 13,2014
maadhimisho ya miaka 75 ya Tanzania Assembliese of God yalifunguliwa kwa wimbo wa taifa ulioongozwa na kikosi cha bendi cha jeshi la Magereza katika uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya julai 13,2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya Julai 13, 2014