Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na mkuu na Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu ,kwa ajili ya kuanza ziara ya kukagua shughuli za Maendeleo Mkoani humo Julai 17,2014
ANGALIA VIDEO JINSI RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIVYOWASILI SONGEA MJINI KWA ZIARA YA SIKU SABA MKOA WA RUVUMA NA KUKAGUA HIFADHI YA CHAKULA NA KUFUNGUA GHALA LA KUHIFADHI CHAKULA NA KISHA KUFUNGUA NYUMBA ZILIZOJENGWA KWA GHARAMA NAFUU ZA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ghala la Mahindi mjini Songea leo wakati wa mwanzo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo alizindua rasmi ghala hilo.Kulia ni Mkurugenzi mkuu wa wakala wa hifadhi ya taifa ya Chakula Bwana Charles Walwa.Rais Kikwete amewasii Mkoani Ruvuma julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ghala la Mahindi mjini Songea wakati wa mwanzo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo alizindua rasmi ghala hilo Julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa nyumba zilizojengwa kwa gharama nafuu na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Mkuzo wilayani Songea mjini Mkoani Ruvuma Julai 17,2014 .Kushoto ni kaimu Mkurugenzi wa NHC Bwana David Misonge Shambwe na wwapili kushoto ni Waziri wa Ardhi Nyumba na makazi Prof.Anna Tibaijuka.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma Julai 17,2014. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu
Aina ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akabidhi mashine za kufyatulia matofari kwa vijana wajasiliamali wawilaya ya songea mjini mashine zilizotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na kaimu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa jengo la ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Ruvuma mjini Songea Julai 17,2014
Jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Ruvuma mjini Songea iliyofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Julai 17,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa ufunguzi rasmi wa ofisi za taasisi ya kuzuia rushwa TAKUKURU mkoa mjini Songea Julai17,2014.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha.
kaimu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha akisoma taarifa ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la ofisi ya TAKUKURU lililofunguliwa na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete Julai 17,2014