Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akiweka sainim katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akisalimiana na viongozi ngazi ya juu wa jeshi la polisi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akisalimiana na mkuu wa jeshi la polisi mustaafu Insp. General Said Mwema wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akikagua Gwaride Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa kozi ya Uofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi Machi 23, 2014 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini, Jijini Dar Es Salaam.
Gwaride Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa kozi ya Uofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi Machi 23, 2014 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini, Jijini Dar Es Salaam likipita mbelea ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akimvisha vyeo baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Ukaguzi wa Polisi katika Sherehe za kuhitimisha Mafunzo zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi mhe. Pereira Silima pamoja na mkuu wa jeshi la polisi Insp. General Elinest Mango wakitoa hotuba ya utangulizi kumkaribisha Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu kwa ajili ya kutoa hotuba ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu akitoa hotuba ya kufunga mafunzo ya maafisa wa jeshi la polisi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini, Jijini Dar es Salaam
Picha ya pamoja ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Amiri jeshi Mkuu, wahitimu pamoja na viongozi wa jeshi hilo.
Vikundi mbalimbalivya burudani vya jeshi la polisi vilikuwepo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Machi 23,2015 Kurasini wakati wa hafla hiyo