ANGALIA VIDEO YA ZIARA YA RAIS WILAYA YA NYASA MKOA WA RUVUMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma julai 18,2014.
Muonekano wa daraja la Ruhekei lililozinduiwa rasmi leo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kijiji cha Mkaole wilyani Nyasa mkoani Ruvuma Julai 18,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Nyasa julai 18,2014.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashilia ujenzi wa kituo cha kupozea umeme mbamba bay wilaya ya Nyasa julai 18,2014.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashilia ujenzi wa kituo cha kupozea umeme mbamba bay wilaya ya Nyasa julai 18,2014.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mbunge wa Mbinga Magharibi capt.John Komba wakati Rais alipowasili viwanja vya mbamba bay wilaya ya Nyasa julai 18,2014 kwa ajili ya kuhutubia wananchi.
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mototo wakati alipokuwa katika ziara ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo wilaya ya Nyasa kulia ni Mama Salma Julai 18,2014
Waziri wa mambo ya nchi za Nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Kamilius Membe,waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli pamoja na mke wa waziri wa mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa Bernard Membe walikuwepo