Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam juni 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini yalaka za uaapisho baada ya kumwaapisha jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Stella Ester Augustine Mugasha , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini yalaka za uaapisho na kumkabidhi baada ya kumwaapisha jaji Stella Ester Augustine Mugasha , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na familia ya jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam juni 16, 2013 baada ya kuapishwa