Mhe. Sipika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitangaza matokeo ya mgombea Urais wa CCM atakaye peperusha Bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mhe.John Pombe magufuli baada ya kuchaguliwa na chama chake kuwa mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiinua mikono juu kwa furaha baada ya kutangazwa kwa Mhe. John Pombe Magufuli kuwa mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2015
Viongozi mbalimbali mashuhuri wa chama cha CCM akimpongeza Mhe.John Pombe magufuli kwa kuchaguliwa na chama chake kuwa mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015
wakiteta jambo
Picha ya pamoja mama salma kikwete na mama janet magufuli
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015
Mhe.John Pombe magufuli mgombea Urais wa CCM akielekea meza Kuu baada ya kutangazwa kushinda katika kura za ugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015