Daily Archives: January 21, 2015

MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN KUSINI WAFANYIKA LEO JANUARI 21,2015 JIJINI ARUSHA

4gbgbg

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini,  Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar,

5fxgjxgu

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  leo Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Ambao ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini,  Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar,

3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Mwenyekiti wa Zamani wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng Garang de  Mabior leo Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.

2

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Yoweri Museveni  leo Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
 

 

 

STATEMENT ON SPLM AGREEMENT IN ARUSHA

 

The warring factions of the Sudanese Peoples Liberation Movement (SPLM) of South Sudan will tomorrow (Wednesday, January 21, 2015) sign an agreement on the re-unification of their movement, in a major step towards resolving the current political crisis that has plunged the country into a tragic and unprecedented civil war.

The Presidents of South Africa, Uganda and Kenya and the Prime Minister of Ethiopia will join Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete in witnessing the signing to take place at the Ngurdoto Mountain Lodge in Arusha.

Both President Salva Kiir and Former Vice President Dr. Rick Machar will sign for their respectful SPLM factions. A leader of the SPLM-Former Detainees will also sign on behalf of his faction.

The agreement is result of an intra–SPLM Dialogue attended by delegations of the three SPLM Groups which has been taking place in Arusha under the auspices of Tanzania’s ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM).

Following a request by the chairman of SPLM, President Salva Kiir,  CCM agreed, last year, to mediate between SPLM groups – SPLM in Government, SPLM in Opposition and SPLM – Former Detainees – which appeared as a result of the political crisis.

The talks in Arusha, which first took place between 12-20 October, last year, were chaired by former Chairman of CCM, John Samwel Malecela and facilitated by CCM Secretary General, Mr. Abdulrahman Kinana.

The latest talks, which resulted in the agreement, took place in both December last year and beginning January 8th this year. The agreement will be followed by the process of implementation during which time CCM will continue assisting.

The Process in Arusha sought at re-uniting SPLM and was therefore complimentary to the Peace Talks taking place in Addis Ababa, Ethiopia.

President Kikwete arrived in Arusha this evening (Tuesday, January 20, 2015) ready for the signing ceremony tomorrow.

 

Ends