Monthly Archives: May 2015

WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAFANYA MAZUNGUMZO JUU YA AMANI YA BURUNDI MJINI DARE S SALAAM CHINI YA MWENYEKITI WA JUMUIYA HIYO RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE MEI 31, 2015

11111111edcc

 

D92A8983

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi Mei 31, 2015

2222C CDC

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu   Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi Mei 31, 2015

3333gsndn

 

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu   Rais Yoweri Museven wa Uganda muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi Mei 31, 2015

D92A9143

 

D92A9127

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu   Rais Yoweri Museven wa Uganda akisalimiana na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi Mei 31, 2015

D92A9028

Rais Dkt.Jakaya Mrisho  Kikwete  akizungumza na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Dkt.Nksazana Dlamini Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi Mei 31,2015

 

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AMPONGEZA MZEE MWINYI KWA KUTIMIZA MIAKA 90 MEI 30,2015

4fghhh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam Mei 30,2015 Kushoto ni Mkewe Mama Siti Mwinyi.

unnamed-4

 

unnamed-1

Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.

unnamed-5

Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake watoto na wajukuu zake wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza umri wa miaka 90 jana katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaa.