Daily Archives: June 14, 2015

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA UMOJA WA AFRIKA JIJINI JOHANNESBURG JUNI 14,2015

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongzi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida  June 14, 2015

  2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba  katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika  June 14, 2015 

3

Wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika  June 14, 2015

 

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA JUNI 13,2015

1fgdhdh

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umojanwa Afrika. Juni 13,2015

2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba   mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umojanwa Afrika.

3

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa wa Ubalozi  wa Tanzania  nchini Afrika Kusini mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaida   wa Umojanwa Afrika.