Daily Archives: June 17, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHIRIKI MZISHI YA SHEIKH, MUFTI ISSA SHABANI BIN SIMBA, MKOANI SHINYANGA JUNI 16,2015

MMGL1093

 

MMGL1125

Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa mazishi ya marehemu sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaban Bin Simba katika Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane mjini Shinyanga juni 16,2015  

MMGL1156

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaban Bin Simba aliyezikwa katika Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane mjini Shinyanga juni 16,2015

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki dua

unnamed

RAIS KIKWETE AAPISHA MAJAJIN WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA, JUNI 16,2015

123

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam juni 16, 2015  

234

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini yalaka za uaapisho baada ya kumwaapisha jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2013

333aaaa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Stella Ester Augustine Mugasha , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2015

444bbb

 

 

555bbbb

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini yalaka za uaapisho na kumkabidhi baada ya kumwaapisha jaji Stella Ester Augustine Mugasha , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es salaam juni 16, 2013

YBY_2099

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na familia ya jaji Augustine Gherabast Mwarija , jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam juni 16, 2013 baada ya kuapishwa