Daily Archives: July 15, 2015

RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA JULAI 14,2015 KWA ZIARA YA KIKAZI

unnamed

 

unnamed-1

 

unnamed-2

 

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli

unnamed-3

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. 

unnamed-4

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio la Polisi IGP Ernest Mangu wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa    kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.