Daily Archives: February 4, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA KATIKA SIKU YA SHERIA DUNIANI JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 04,2016

35a042b9-b81e-4260-8aec-5b235a99bc08 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman mara baada kuwasili katika viwanja vya Mahakama – Chimala Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Mwaka Mpya wa shuguli za Kimahakama katika siku ya Sheria Duniani Februari 4, 2016

3e2f2c52-eba6-433b-8e65-6d249f3e0fa5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

c089029e-859b-48b1-98a5-893e228e88b9 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

40f86a5b-a220-4b3c-a8f0-e947d5a582a2

 

 

91c13b3a-a62d-4b9c-b61e-f7256eb7993aRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016 71c05b54-6f00-413d-b64b-433944c375e9

 

1feb1643-32df-406a-b2cf-eadab9b0c1ea

 

Wadau mbalimbali wa Seria akisikiliza hotubia ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

fdbf878b-ae66-4617-930d-7a6df77c8697

 

25ecf2a2-f51b-49a7-a54b-52b86066a8dd

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja na majiji mbalimbali mara baada uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

20f21cc6-6b62-4bd7-9929-81946743b283

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja naviongozi mbalimbali wa Dini mara baada uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

 75b7c6dc-5adf-476f-a1a7-1a2e892342bf

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiagana na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  mara baada ya  uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016