Daily Archives: April 7, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI PAMOJA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA WAFUNGUA DARAJA LA RUSUMO LINALOUNGANISHA KATI YA TANZANIA NA RWANDA PAMOJA NA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI APRIL 6, 2016

12g11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Bi Tonia Kandiero, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Rusumo linalounganisha nchi za Rwanda na Tanzania April 6,2016

2gdsgdg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiweka jiwe la ufunguzi la kituo cha pamoja cha huduma za mpakani.

3FFMFMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kituo cha pamoja cha huduma za mpakani, April 6,2016

4BBBRais wa Rwanda Paul Kagame akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutoa hotuba yake ya ufunguzi wa daraja la Rusumo.

5FGGDG Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Rusumo mara baada ya kuwasili.

6VDVDVRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Bi Tonia Kandiero, pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Daraja la Rusumo mara baada ya ufunguzi.

7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiwasili kwenye ardhi ya nchi ya Rwanda na kulakiwa na kikundi cha ngoma.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kutoa hotuba yake kwa upande wa Rwanda.

9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kagame katika mazungumzo rasmi baina ya nchi hizo mbili nchini Rwanda.

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Rusumo mkoani Kagera.

11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakielekea jukwaani mara baada ya kuwasili Rusumo

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakizungumza jambo kabla ya ufunguzi wa daraja.

13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa eneo la Rusumo Tanzania.

14 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya ukaguzi wa kituo cha pamoja cha huduma za mpakani huku Rais wa Rwanda Paul Kagame akifurahia.

15Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi upande wa Rwanda katika eneo la Rusumo