Monthly Archives: April 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA KATIKA SEHEMU YA IRINGA-MIGORI-FUFU KM 189 .APRILI 29,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma wa pili kutoka kulia wakivuta utepe kwenye jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami. Sherehe hizo za ufunguzi zilifanyika katika kijiji cha Ndolela kilichopo Isimani nje kidogo ya mji wa Iringa.Aprili 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma, Balozi wa Japan Masaharu Yoshida wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa , Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine wa Serikali na wageni kutoka nje ya nchi.Aprili 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.Aprili 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sherehe hizo za ufunguzi wa barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.Aprili 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Isimani Mkoani Iringa.Aprili 29,2018.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida, Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi, pamoja na Waziri wa Mambo ya nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga wakifatilia sherehe za ufunguzi wa barabara ya ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.Aprili 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa mjini waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili akitokea Isimani mkoani Iringa.Aprili 29,2018.

Mwananchi wa Iringa mjini akipuliza pembe ya ng’ombe wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Iringa mjini katika ziara ya kikazi.Aprili 29,2018.

MWENYEKITI WA CCM TAIFA MHE.RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA WABUNGE WA CHAMA CHA MAPINDUZI JIJINI DODOMA.APRILI 28,2018

Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majariwa akizungumza mbele ya Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na wabunge wa chama cha mapinduzi katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akizungumza mbele ya Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na wabunge wa chama cha mapinduzi katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wabunge wa chama cha mapinduzi katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wabunge wa chama cha mapinduzi katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Wabunge wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia na kumpongeza  Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na kuzungumza na wabunge hao katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mikono Wabunge wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzungumza na wabunge hao katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.

Mwenyekiti wa Ccm Taifa Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mikono Wabunge wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzungumza na wabunge hao katika ukumbi wa White house Jijini Dodoma.Aprili 28,2018.