Daily Archives: April 8, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA KATOLIKI JIMBO KUU LA ARUSHA .APRILI 8,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi na waumini alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha. Aprili 8, 2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha. Aprili 8, 2018

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mama Janeth Magufuli akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha. Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha. Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na  katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018

Waziri mkuu msatafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda na mkewe wakiwa  Spika wa Bunge la Jamhuri Mstaafu Mama Anna Makinda pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Mhashamu Isaack Amani akisimikwa  rasmi kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Askofu mkuu  Isaack Amani aliyesimikwa kuwa  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Waziri mkuu msatafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoa sadaka katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Spika wa Bunge la Jamhuri Mstaafu Mama Anna Makinda akitoa sadaka katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki sakramenti takatifu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipokea zawadi ya picha ya kumbukumbu wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipokea zawadi ya Bibilia na Rozari kutoka kwa Padre Kitomari wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mapadri mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwadhama Kadinali Policapy Pengo Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Isaack Amani  Askofu mkuu wa jimbo kuu la Arusha mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Ngalekumtwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Iringa ambaye pia ni mwenyekiti wa TEC mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Maaskofu wakuu wa majimbo makuu mabalimbali mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini mbalimbali waliohudhuria mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Isaack Amani  Askofu mkuu wa jimbo kuu la Arusha mara baada ya kuhutubia  katika Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Maaskofu wakuu wa majimbo makuu mbalimbali mara baada ya Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Godbless Lema Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini mara baada ya Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mhe.Mizengo Pinda Waziri mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  pamoja na mkewe mara baada ya Ibada ya Kumsimika  Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.Aprili 8, 2018.

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA POLISI CHA KIDIPLOMASIA ,NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI PAMOJA NA KUADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 46 YA KIFO CHA SHEIHK ABEID KARUME JIJINI ARUSHA .APRILI 7,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa IGP Saimon Sirro kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii  kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa IGP Saimon Sirro kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii  kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo  kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii  kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia  ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Saimon Sirro mara baada ya kufungua kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mmoja wa wadau waliosaidia  ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika .Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Ekarist Lazaro mara baada ya kufungua kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika. Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia  ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika. Aprili 7, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi katika kitabu cha kumbukumbu mara baada ya kufungua  kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia  jijini Arusha  kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.

 

Sehemu ya nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha .Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo  na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro  wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha .Aprili 7, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na IGP Simon Sirro baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa  na viongozi wengine akikata utepe  kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018 .

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya  kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na IGP Saimon Sirro mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018 .

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya wanafamilia wa Jeshi la Polisi  baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha. Aprili 7, 2018.

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na askari polisi  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha  kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Calist Lazaro alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii nchini CP Mussa Ally Mussa  alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipewa jarida la Jeshi la Polisi na IGP Simon Sirro  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.

 

Gwaride la heshima  kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likipita mbele ya jukwaa kuu.Aprili 7, 2018.

Bendi ya Jeshi la Polisi katika  kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu.Aprili 7, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na  IGP Simon Sirro  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa  kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.

Kikosi cha pikipiki cha Jeshi la Polisi kikionesha namna kinavyopambana na wahalifu wanaotumia usafiri huo katika  kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu. Aprili 7, 2018.

 Mmoja wa “wahalifu” akiwa anajaribu kujihami wakati akiandamwa na kikosi cha pikipiki

 

Askari wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia na maandamano wakionesha namna  kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya  siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018 .

 

Askari wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha namna  kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya  siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na IGP Saimon Sirro wakiangalia maonesho ya vitendo ya vikosi vya kupambana na ghasia na kulinda viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo Aprili 7, 2018.

 

 Maonesho ya vitendo ya vikosi vya polisi katika kukabilana na waalifu wakishuka kwenye Helkopta katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakioneshwa na  Kamishina wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Nsato Marijani nakala za matokeo ya uchunguzi wa shambulizi la bomu wakati wa maonesho ya mapambano na magaidi yaliyofanywa na vikosi maalumu vya jeshi la polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakipiga makofi wakati wa  maonesho ya vitendo ya vikosi vya kupambana na ghasia na kulinda viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.

 

Kwaya ya Chuo cha Mafunzo cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Wadau walichangia ujenzi wa kituo cha polisi na nyumba za makazi ya polisi wakifurahi  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo Aprili 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP mstaafu Omary Mahita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na IGP mstaafu Omary Mahita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP mstaafu Said Mwema katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP Saimon Sirro akitoa hotuba  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Viongzoi na wananchi kusimama kwaajili kumuombea Hayati Abeid Aman Karume katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

 Viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya bendi ya jeshi la polisi  katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha   kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.