Daily Archives: November 23, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WATANO IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA. NOVEMBA 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Maj. Jenerali Anselm Shigongo Bahati kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Mohamed Abdallah Mtonga kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Abu dhabi (UAE) , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Jilly Elibariki Maleko kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Burundi , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Jestas Abouk Nyamanga kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Ali Jabir Mwadini kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Saud Arabia , Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Mabalozi wapya wakila kiapo cha Maadili kwa Watumishi wa Umma kilichoongozwa na kamshna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela mara baada kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli . Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi wa John Kijazi, Waziri wa Mambo ya nje Profesa Palamagamba Kabudi ,Waziri wa TAMISEMI Seleman Jaffo, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi wakwanza kushoto pamoja na Mabalozi wapya mara baada ya tukio la uapisho Ikulu chamwino jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwagawia Vitafunwa wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho ya Mabalozi iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Novemba 23, 2019