MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WAJUMBE WAPATAO 2356,AMBAPO WALIPASWA KUWA WAJUMBE 2380 WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA MARCH 12,2017

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe 2380 mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao ulikuwa una lengo kuu la kufanya baadhi ya mabadiliko ndani ya Katiba,ambayo yamepitishwa kwa asilimia 100 na wajumbe hao waliohuhudria mkutano huo.

 

 

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiburudika kwa shangwe na vifijo kutoka kikundi cha TOT Plus kabla ya kuanza mkutano huo ndani ya Ukumbi wa Kikwete mjini Dodoma

Sehemu ya baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiwa tayari ukumbini wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.

Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa akitunbuiza pamoja na bendi ya TOT

 

 

 

 

 

 

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

                                         P I C H A  NA  I K U L U

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *