RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA DKT REGINALD MENGI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja  na viongozi wengine
wakiwa wameungana na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Mei 7, 2019

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi akitoa salamu za serikali wakati wa kuuaga mwikli wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam , Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam ,Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa mtoto wa Marehemu Bw. Abdiel Mengi wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa shemeji wa marehemu Bi. Shimimana Ntuyabaliwe wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. leo Jumanne Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Bi. Jacquiline Mengi wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Mei
7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam .Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti
Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam .  Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam .Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja  na viongozi wengine
wakiwa katika dua na waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Mei 7, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *