RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM DESEMBA 22, 2014

1ecee

 

4

Mh.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo  Desemba 22, 2014 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Mzee Mtulia.

7

 

8

 

Baadhi ya wazee na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa  Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

11

 

Wanahabari wakichukua kumbukumbu kwenye mkutano huo wa Mh.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo  Desemba 22, 2014 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *