RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MHASHAMU ASKOFU YUDA THADEUS RUAICHI ANAYEPATIWA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA MIFUPA MOI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA, NA PIA AMETEMBELEA KITUO CHA POLISI SALENDA BRIDGE. SEPTEMBA 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) wakimuombea Sala Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye anapatiwa matibabu katika Taasisi hiyo ya MOI mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa Kichwa jana usiku. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Madaktari wa Muhimbili pamoja na MOI mara baada ya kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye amelazwa katika Taasisi hiyo ya MOI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa wengine waliolazwa MOI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Madaktari wa Muhimbili pamoja na MOI mara baada ya kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye amelazwa katika Taasisi hiyo ya MOI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi nje ya Jengo la Taaisisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mara baada ya kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea Kituo cha Polisi cha Selander Bridge wakati akitokea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Polisi cha Selander Bridge wakati akitokea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kutembelea kituo hicho. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *