RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDUMA –SUMBAWANGA KM 223.21 KATIKA ENEO LA LAELA MKOANI RUKWA NA AKUTANA NA WANAKWAYA WA LIGHT ANGELS WA MOROVIAN CHURCH YA TUNDUMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akutana na vijana wa kwaya ya Light Angels Moravian Church Ikulu ndogo ya Tunduma. Oktoba 06,2019 kabla ya kuendelea na ziara yake mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia aliyeshika utepe, viongozi wa mkoa wa Rukwa, Mawaziri, viongozi wa Dini pamoja na Chama, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.

Sehemu ya Barabara ya Tunduma –Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Laela mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Laela mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chiwanda Tunduma mkoani Songwe mara baada ya kusimama wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chiwanda Tunduma mkoani Songwe mara baada ya kusimama wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.

Wananchi wa Ikana wakisangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye eneo hilo wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.

Sehemu ya Barabara ya Tunduma –Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Laela mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na maaskari wa Jeshi la Polisi wakati akielekea kukagua kituo cha polisi cha Laela mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Tombe Magufuli
akiongea kwa simu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro na kumuagiza kumsimamisha kazi mara moja Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Sumbawanga ACP Polycarp Urio kwa kutowasilisha taarifa kwa Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa  maelekezo ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi  Lugola ambaye hivi karibuni aliagiza kuhamishwa kituo cha kazi askari polisi Tisa waliokuwa wakijihusisha na vitendo vya rushwa na kuwabambikizia kesi wananchi. Mhe. Rais alitoa matatizo hayo alipotembelea Kituo cha Polisi cha Laela mara baada ya kuzindua rasmi Barabara ya Tunduma-Laela-Sumbawanga yenye urefu wa kilometa 223.2 ambayo ni sehemu ya barabara kuu katika ushoroba wa Magharibi unaoanzia Tunduma-Mpanda-Kigoma-Nyakanazi wenye urefu wa kilometa 1,286.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali waliojipanga pembezoni mwa barabara Kuu ya Tunduma Sumbawanga mara baada ya kutoka Laela kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *