RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKAGUA MRADI MKUBWA WA RELI YA SGR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Reli nchiniTRC kabla ya kuondoka katika stesheni hiyo ya Soga mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Behewa la Treni ya Uhandisi wakati alipokuwa akielekea Mlandizi mkoani Pwani ambapo amekagua kazi za ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia 80.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kufika eneo la Mlandizi mkoani Pwani wakati akikagua kipande cha Reli kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi wake umefikia asililimia 80.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mlandizi mkoani Pwani wakati alipotoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia 80.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Kisarawe Mkoani Pwani ambapo alizindua mradi mkubwa wa Maji-Picha na Ikulu.

. Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge katika kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro kama uivyoonekana pichani.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kuhusu mradi wa Reli ya Kisasa wa Standard Gauge kuanza LOT 1 kipande cha Dar -Moro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye treni ya Uhandisi mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa Reli ya Kisasa wa Standard Gauge kuanza LOT 1 kipande cha Dar -Moro katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *