ZIARA YA RAIS KIKWETE KILINDI – TANGA

2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na wananchi kusikiliza kero zao katika  moja ya Vijiji alivyopita akiwa katika ziara wilayani Kilindi Mkoa wa Tanga Julai 8,2014

D92A7195

 

D92A7192

wananchi wakisikiliza majibu ya kero zao kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete katika Vijiji alivyopita akiwa katika ziara wilayani Kilindi Mkoa wa Tanga Julai 8,2014

ddf

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi Julai 8,2014.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe hilo na zawadi nyinginezo

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *