Daily Archives: August 3, 2015

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAAGA WANANCHI WA MKOA WA TANGA KATIKA UWANJA WA CCM MKWAKWANI NA KUWAHUTUBIA AGOSTI 3,2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mamia ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara ambapo aliwaaga rasmi  Agosti 03,2015

D92A0082

Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Tanga waliojitokeza katika mkutano huo

D92A0022

 

D92A0039

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mama Salma  Kikwete wakifuarahia wimbo ulioimbwa na wasaniii wa kikundi cha Tanga Kwanza cha mjini Tanga 

D92A9949

 

D92A0008

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi za zawadi alizopewa na wananchi wa mkoa wa Tanga kulia ni katibu tawala wa Mkoa wa Tanga Said Mohamed Chima

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA AGOSTI 03,2015 YENYE KAULI MBIU ENDESHA SALAMA OKOA MAISHA

1hfhfhRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya Uzinduzi wa wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 wakati wa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga Agosti 03,2015 yenye Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha 2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Kamanda wa mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga wakati Rais alipowasili katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yenye kauli mbiu endesha Salama Okoa maisha

qeqRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula  wakati alipokwenda kuzinduzia wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga Agosti 03,2015 yenye Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha. Kulia ni naibu Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Mhe. Pereira Silima kushoto ni mama Salima Kikwete

3

 

c (2)Baadhi ya wanafunzi wakiandamana na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu usalama barabarani wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga