Daily Archives: July 27, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI PAMOJA NA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU (TSC) IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA JULAI 27,2016

1gchkdkjRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Oliva Joseph Mhaiki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma julai 27,2016

2gdsjdhdhRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Winfrida Gaspa Rutaindurwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma Julai 27,2016

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Oliva Joseph Mhaiki (watatu kutoka kushoto) pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Winfrida Gaspa Rutaindurwa (watatu kutoka kulia) mara baada ya kuwaapisha. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo 

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Oliva Joseph Mhaiki (kushoto) pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Winfrida Gaspa Rutaindurwa (kulia) mara baada ya kuwaapisha ) katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.

5. Rais Dkt. John Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo mara baada ya tukio la uapisho katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma. Katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

6Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Oliva Joseph Mhaiki mara baada ya tukio la uapisho wa Mwenyekiti huyo pamoja na Katibu wa Tume hiyo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodom

 

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA SEKRETARIETI, MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODODMA JULAI 27,2016

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa ,  Dkt. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Dkt. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa  Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, . Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na na kshoto baadhi yao ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyesimama) akitoa maneno ya utangulizi kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa,  Dkt. John Pombe Magufuli kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma 

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , DKT. MAGUFULI AKIWASILI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Hamdan Meghji alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

  Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka,  alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naKatibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi, Seif Shaban Nasoro alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na  Mwenyekiti wa CCMTaifa , Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi  alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka Hamdu Shaka alipowasili Makamo Makuu ya CCM, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

 Rais wa Jamhuri ya miingano na  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti, Anamringi Macha alipowasili Makamo Makuu ya CCM kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa  Dkt. John Pombe Magufuli baada ya Mwenyekiti kuwasili Makao Makuu ya CCM, leo. Kushoto ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula