Monthly Archives: October 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS UHURU KENYATTA, OKTOBA 31,2016

unnamed-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Kenya.

unnamed-3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wa dua katika eneo la kaburi hilo la Muasisi na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya kaburi la Muasisi na Rais wa Kwanza wa Kenya Maremu Mzee Jomo Kenyatta mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo la katikati ya jiji la Nairobi nchini Kenya mara baada ya kuwasili nchini humo

unnamed-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikiwa zinapigwa

unnamed-3

 

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima aliloandaliwa na Jeshi la Kenya mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

unnamed

 

unnamed-1

 

unnamed-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

unnamed-3

 

 

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

unnamed-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na ujumbe wake katika Ikulu ya Nairobi.

unnamed-3

 

unnamed-5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mbalimbali wa Kenya mara baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEONDOKA NCHINI KWENDA KENYA KWA ZIARA RASMI YA KIKAZI YA SIKU MBILI OKTOBA 31,2016

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016

unnamed-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Balozi wa  Kenya nchini Mhe Boniface Muhia katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili  Oktoba 31, 2016

unnamed-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea saluti toka kwa Inspekta jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016

unnamed-3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa  tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili  Oktoba 31, 2016

3hdhgdgdbRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati akipanda ndege kwenye  Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016 

unnamed-5Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na viongozi wengine wakipunga mikono kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akianza  safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili Oktoba 31, 2016