Daily Archives: February 24, 2018

RAIS MHE.DKT.JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA AKITOKEA NCHINI UGANDA ALIPOHUDHURIA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.FEBRUARI 24,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa ndege wa Entebe mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambao ulimalizika Februari 23,2018 Jijini Kampala nchini Uganda

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kijeshi kutoka Uganda kabla ya kurejea nchini.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) MKoa wa Mwanza ndugu Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ndugu Kheri Jamesn mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akitazama kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

 

 

 

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa MKoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi,nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula,Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella na wacheza ngoma waliofika kumlaki uwanjani hapo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.