Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi leo tarehe 11 Januari, 2021 amefanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini ambapo amekutana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Continue readingRAIS FILIPE JOCANTO NYUSI WA MSUMBIJI AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI
Leave a reply