RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JANUARI 11,2016 AMEMPA POLE MAMA MARIA NYERERE KUFATIA KUFIWA NA MKWE WAKE BI LETICIA NYERERE

DSC_5298

 

DSC_5299

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe wake Bi Leticia Nyerere aliyefariki huko nchini Marekani. Rais alikwenda nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani Dar es salaam kumpa pole Mama nyerere Januari 11,2016

DSC_5339

 

DSC_5342Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wanafamilia alipofika nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani Dar es salaam kumpa pole Mama nyerere Januari 11,2016

DSC_5310

 

DSC_5311

 

 

04cd07da-4b95-41a0-9ebf-7626ce65ff43

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo juu ya uataratibu wa msiba kutoka kwa mwanafamilia Joseph Butiku

DSC_5332

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wanafamilia

833a85e1-0dc6-4167-b301-36595a62ee80

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha Mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani. 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *