Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza baada ya kumaliza ziara yake katika Mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga, Geita na Mwanza Agosti 12,2016 Rais amerejea jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saruti kutoka katika askari wa kikosi cha zima moto mkoa wa Mwanza baada ya kumaliza ziara yake katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga, Geita na Mwanza Agosti 12,2016 Rais amerejea jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mwanza baada ya kumaliza ziara yake katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga, Geita na Mwanza Agosti 12,2016 Rais amerejea jijini Dar es salaam