RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU MSAIDIZI WA UMOJA WA MATAIFA DKT. NATALIA KANEM PIA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERAT MFUMUKEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 18,2016

1 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UNFPA alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo.

2Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akizungumza na aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam.

3Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vitabu alivyopewa na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia vitabu hivyo

5Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

sdsgsbsRais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga watatu kutoka (kushoto).

7.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *