RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI BURUNDI KULIHUTUBIA BUNGE LA EAC MACHI 18,2015

 

 

1HJHGH

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Maua kutoka kwa watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bujumbura ambapo alianza ziara ya kikazi ya siku mbili Machi 18,2015

2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura Machi 18,2015 Rais Kikwete yupo nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

4 

5JFJFJ Rais Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakipokea heshima kwa kukagua gwaride liliandaliwa na jeshi la Burundii.

6

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi jijini Bujumbura Machi 18,2015 ambapo Rais Kikwete alipowasili nchini humo kwa  ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *